sw.news

Francis Alitaka Barua Iliyopiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotestanti Kuwa "Siri"

Edward Pentin alidhibitisha ripoti kwamba Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali pendekezo la Maaskofu Wajerumani kuwapa Waprotestanti Ekaristi [ingawaje hili ni jambo la kawaida nchini humo].
Aliyempa Pentin habari hizo aliongeza kuhusu suala hili, hakuna "tofauti" kati ya Askofu Mkuu Ladaria na mtangulizi wake Kadinali Gerhard Müller.
Pentin amegubdua kwamba "Papa anaitaka barua [inayopiga marufuku pendekezo hilo] ibaki kuwa siri kwa sababu zisizojulikana".
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsNmaxqrapam

223
sw.cartoon

Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg

127
oarielvillar

Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 2
Familia Ingalls - Temporada 1 - Episodio Piloto Parte 2

49:53
elfu 47
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

+54 2344476927 ameshirikisha hii

Me Encanta este capítulo.

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

37
HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
27
sw.news

Ushoga Wa Padre Martin Wapingwa

Mnamo Julai Tarehe 10, Padri wa New York Gerald Murray alichapisha uchambuzi wa kitabu cha Building a Bridge kilichoandikwa na Myesu James Martin.
Murray anasema kuwa lengo ya kitabu hicho cha Martin ni kukweza utulivu wa mafunzo ya Kikatoiki kuwa ulawiti ni dhambi kubwa. Anamkosoa Martin kwa kuyapuuza mafunzo ya Katekisimu "kuwa 'kuegemea' 'mienendo ya kishoga' 'ni ugonjwa wa kimaumbile' (2358),"
Martin huiita mienendo ya kishoga "tofauti" badala ya "ugonjwa". Padre Murray anajibu kwa kusema, "Hii ni kama kumaanisha kuwa Mungu aliumba mifumo miwiili tofauti ya tabia za kingono ambayo yote miwili ni mizuri kulingana na mapenzi yake."
Martin anawataka shoga kuukubali ugonjwa wao. Murray hupinga; "mienendo ya uovu au mienendo ya dhambi ni lazima Wakristo waitazame kwa ilivyo na kupingwa."
Picha: James Martin, © Kerry Weber, CC BY-SA, #newsPsnrqfqxyg

81
sw.cartoon

Shetani Amepata Washirika Wengine Wenye Ushawishi Mkuu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsYsnljjypkh

104
oarielvillar

Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson.
Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson

49:37
1elfu 15
Lila San Car

Cómo le puede gustar el caitudo a Laura! Para gustos los colores!!! .🤪😍💜💙💚🖤♥️💛🧡❤️.. jajajaja! ....porque no le das un buen bofetón!!! jajajaja!!!!pobre Laura! 💔, El chico gusta de Mary!!!!

Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DW5AYUrjByE/
David Icke

05:02
12
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
118
sw.news

Francis Alipanga Kumtangaza Kadinali Mmoja Zaidi

Wakati wa Baraza lake lililopita mnamo mwezi wa Juni, Papa Francis alitaka kumhusisha mlei mmoja kwenye orodha ya Makadinali wapya,jarida la Italia la Il Giornale limeandika. Mgombeaji wa Francis alikuwa ni nzo Bianchi, 74, mwanzilishi wa shirika la Kiekumenika la Monastic Community of Bose, Italia.
Bianchi ni wa mrengo mkali wa kushoto na hutendwa kwa wema na vyombo vya habari. Ni mtetezi wa ushoga na mfuasi mkuu wa Amoris Laetitia. Bianchi alikataa pendekezo la Francis kwani kulingana na Sheria ya Kanisa ingembidi ateuliwe kama kasisi na askofu kabla ya Kufanywa Kadinali , huku akisema kuwa alitaka kubaki akiwa mlei "kama vile Mtakatifu Pacomius, Mtakatifu Benedict au Mtakatifu Francis wa Assisi."
Picha: Enzo Bianchi, © Niccolò Caranti, CC BY-SA, #newsSaemamnesy

97
sw.cartoon

Francis Alisema Mnamo Mwaka Wa 2016: Kuna "Uaminifu" Katika Wenzi Wanaoishi Pamoja Na Wamo Katika "Ndoa Halisi"
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsPanpsvcqez

118
carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

159
Denis Efimov

Así es.

instagram.com/reel/DWvm20SDMsR/
David Icke

02:35
16
sw.news

Askofu: Ni Mungu Pekee Ajuaye, Iwapo Francis Ni Papa Bandia

Ni Mungu pekee Ndiye ajuaye iwapo Francis ni au sio Papa Bandia, aliandika Askofu René Gracida, mwenye umri wa miaka 94, wa Corpus Christi, mjini Texas. Kwenye nakala mbili (Septemba 5 na 29) kwenye blogu lake “abyssum.org” alieleza shaka zake iwapo kuchaguliwa kwa Francis kulikuwa "halali".
Kulingana na Gracida Katiba la Uchungaji Universi Dominici Gregis humharamisha Kadinali yeyote ambaye hushiriki kwenye kashfa ya uchaguzi wa Papa mpya, "Bila shaka Francis alishiriki kwenye kashfa ili achaguliwe." Kulingana na Gracida Kadinali ambaye ameharamishwa hawezi kumchagua Papa.
Gracida pia anatilia shaka uhalali wa kujiuzulu kwa Benedict XVI. Kulingana naye "kuna ushahidi kuwa Benedict alilazimishwa kujiuzulu". Iwapo hili lilitendeka basi kujiuzulu kwake "sio halali na bado yeye ndiye Papa".
Picha: Ioannes Paulus II, René Gracida, #newsLrnukfuzac

99
Guntherus de Thuringia

Qu.

05:26
25
noi_cattolici

Dr. Barbara Balanzoni

20:00
69